Wednesday, June 26, 2019

Udenda wa MATE Wawatoka Wanaume KISA Picha za Mange Kimambi



Mange Kimambi mwana-Instagrammer matata kwa vichambo na maneno ya moja kwa moja, athibitisha ule msemo usemao ng’ombe hazeeki maini, ndio hivyo buana.

Kule ‘mambele’ hasa maeneo ya Marekani ndio kipindi cha joto kimeanza, wao wanaita ‘summer’ ni mwendo wakuogelea sana na kujianika juani.

Sasa kwa sie wabongo tusio wazalendo na miili ya warembo lazima udenda utoke, kama ambavyo mwanaharakati na mama wa watoto wawili aishiye pale Marekani, Mange Kimambi anyeitafuta miaka 40 alivyotupia ‘kichupi’ cha ku-swim halafu aka-bend over kama vile ngoma ya Mondi inayotesa sana inavyosema ‘Inama’ akatupa kwa mtandao wenye umbea wake, Instagram, kwa chini akatupa just because it’s summer time na ka’imoji ka ‘boot’ mbele yake.



Jinsi alivyo-bend kwa makusudi kuonyesha kuwa alikuwa labda anawatega watu basi akafanikiwa kwakuwa mwamaume rijali lazima upepesepese kidogo kuangalia ‘yaliyomo yamo’.

Wanazengo nao hawakua nyuma, waliporomosha maneno kibao ya kumsema vibaya Mange kuwa atavaaje vile mbele ya wanae wadogo tena wa kiume.


Ila wanaume wenye mate mengi mdomoni waliisha kumsifia na kushea picha zake na kutagiana ili siku ziende kuhakikisha mzunguko wa damu unakaa pouwa, si unajua tena mambo ya kiume.

Embu cheki maoni ya wadau kuhusu picha za ‘ summer time’ halafu uniambie wewe unaonaje? Vipi anadatisha au kavurunda?

@Juniormiraji….Kama Mungu akisema leo apeleke motoni wote waliozoom aisee na mimi ninaingia katika tanuri la moto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
@craig_society… Sis kama wakenya tumekubali urembo upoπŸ’―πŸ˜

@stevegiraita… Ahhh Mange Usitufanyie Hivyooo!!! πŸ˜‚❤️❤️❤️

@sinyorita2014…Umependeza kama sio wewe, mguu mzuriiiii,kitako Mashallah 😍

@johnckelo… Duuu tutambuane wanaume ambao tumesimama Kwa muda

@rahma_facebeat….Kama dada wataifa kapost hii mi ninan nisipost🀣🀣 ntaeleza nini baba🀣

@jonuve…There is something called SELF RESPECT, I guess u dunno it

No comments:

Post a Comment