Monday, June 24, 2019

Serikali Yatoa Tamko Kuhusu Kocha Amunike Kumtoa Dimbani Fei Toto



Alichokiandika Waziri anayeiwakilisha serikali katika Wizara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba amefunguka kuhusiana na maamuzi ya Kocha Emmanuel Amunike kumtoa mchezaji Fei Toto katika mechi ya AFCON dhidi ya Senegal.

No comments:

Post a Comment