
Siku sio nyingi mpenzi wa msanii Diamond Platnumz, Tanasha naye ataanza kusikika kwenye muziki baada ya kuposti kipande cha wimbo wake kwenye mtandao wa kijamii.
Video ya wimbo wake imekamika na kinachosubiriwa ni muda ufike wimbo uachiwe.
Tayari Diamond ameshaposti kipande cha video hiyo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akielezea ujio wa Tanasha kwenye muziki.
Ikumbukwe Tanasha aliwahi kuonekana kwenye video ya wimbo wa Alikiba na Christian Bella unaoitwa Nagharamia'.
No comments:
Post a Comment