Mashabiki wa muimbaji Diamond kwa sasa wanataka kujua ukweli kuhusiana na wimbo ‘The One’ kufanana na wimbo wa King Teedee ambao Diamond alishirikishwa na muimbaji wa Namibia aitwaye, King Teedee.
The One wa Diamond ambao ameuachia asubuhi ya leo tayari umeingia trending namba 1 huku tayari ukiwa umeangaliwa zaidi ya mara 500000 kwa masaa machache.
Kwa upande wa wimbo wa King Teedee , ‘One I Love’ uliachiwa tarehe 2 February 2019 na tayari umeangaliwa mara 381,196 kupitia mtandao wa Youtube.
Wadau wa mambo wanadai huwenda Diamond amekubalina na muimbaji huyo wa Zambia kutumia sehemu yake ya wimbo huo pamoja na beat kwa kuwa imezalishwa na producer wake Lizer Classic. Haya hapa chini ni maoni ya mashabiki hao ambao walikuwa wanataka ufafanuzi.
Namibian Vibes. Diamond why did do this to king teedee…us Namibians we need explanations
Ndayoloka Amakali. Like seriously now… He can’t do this. Anyway, copies are always worse than originals…. I love the original version
Titus Angula. It’s true.. Why why is the king out
Linda Iikondo.It’s such a disappointment that you threw us in the trash can (namibia🇳🇦) …. Our guy kingteedee might not have a golden voice but he has a golden heart… We showed you love when you were here and made you feel at home but this is what you gave us in return….. KARMA is a you know what😢😢
No comments:
Post a Comment