Thursday, July 25, 2019

Lulu Diva Kuvalishwa PETE ya Uchumba na Mbunge Jaquar Kutoka Kenya



INASEMEKANA : Mwimbaji Atamtambulisha Rasmi JAGUAR wa Kenya kuwa ndio Mpenzi wake mpyaa pia watavishana Pete... Siku ya Jumapili hii ( Tar 28 July) pale LIFE PARK MWENGE @maishaclub_dsm ...PIA Atapiga Booongee la Show

“Wawili hao kwa sasa wanadaiwa ni wapenzi wa kupika na kupakua ..Safariza Lulu Diva Kenya zimekuwa haziishi, wenyewe wanadai wapo kikazi lakini mhh si kwa mapozi ya kimahaba wanayoonesha

No comments:

Post a Comment