Monday, April 8, 2019

Alikiba amuonyesha mtoto wake kwa mara ya kwanza

Kwa mara ya kwanza Msanii wa Muziki, Alikiba amemuonyesha mtoto wake aliyezaa na mke wake Amina kutoka Nairobi kupitia ukurasa mitandao ya kijamii

Alikiba Kupitia ukurasa wa instagram amepost picha hiyo pamoja na kuandika caption ya kumshukuru Mungu kwa kila kitu kwa kusema ‘Alhamdulilah’.

Inasemekana kuwa Alikiba ana watoto watatu aliowapata kwenye mahusiano yake ya awali lakini ndani ya ndoa na mke wake Amina amezaa nae mtoto mwingine anayekamilisha idadi ya watoto wanne 

No comments:

Post a Comment