Nipsey Hussle alifariki huku dili lake na kampuni ya PUMA likiwa bado halijakamilika, Puma ilitoa maelezo kwamba kila kitu kilichoachwa na Nipsey kitakamilika na kuachiwa kwa wakati.
Sasa dili hilo linaonekana kufanikiwa kwani timu yake imethibitisha kwamba bidhaa za Ushirikiano huo wa kwanza zitatoka September 5, 2019 na kusisitiza muundo na mtindo wa viatu utakuwa ni ule ule ambao marehemu Nipsey aliupendekeza na kuu-design mwanzo mwisho,

No comments:
Post a Comment