Thursday, July 4, 2019

Picha za SUGU (JOSEPH MBILINYI) kabla hajawa staa

Waswahili wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Maisha mazuri waliyonayo mastaa hawa leo hii, hayakupatikana ndani ya siku,mwezi ama mwaka mmoja. Ni safari ndefu iliyokuwa na kila aina ya vikwazo na kukata tamaa.
Juhudi na vipaji vyao ndivyo vilivyowafanya leo hii wawe ‘soga za mjini’ na waonekane waking’aa.
Hizi ni picha zinazowaonesha kabla hawajatoboa na kuwa nyota wa muziki.
Joseph Mbilinyi, mbunge wa Mbeya mjini na msanii wa Hip hop



No comments:

Post a Comment