Saturday, December 29, 2018

Download | Harmonize – Kidonda Changu [Audio]

Harmonize amekuwepo katika game kwa muda na kurekodi nyimbo kadhaa kabla hajanza kusikika kila kona. KIDONDA CHANGU ni wimbo aliyeurekodi kipindi cha nyuma kidogo lakini hukupata airplay ambao wimbo huu ulikuwa unastahili. Pakua wimbo hapa na ufurahie kipaji cha kijana huyu HARMONIZE.



Download | Harmonize – Kidonda Changu [Audio]


No comments:

Post a Comment